mchezaji de bryune akionekana kung'ara na kusaidia kwenye ushindi klabu yake ya Man city |
Manchester City waliwakung'uta Arsenal 3-1 na kufungua mwanya wa pointi kileleni mwa ligi ya Premier.
Bao la Kevin de Bruyne na penalti ya Sergio Aguero iliiweka Man City katika nafasi ya kushinda ligi ya tisa.
arguero aweka rekodi ni bada ya kufunga penati kwa klabu yake
Mchezaji Sanchez wa Arsenal alionekana kushangazwa na kuhuzunishwa baada ya wachezaji wa Man city walipokuwa wakishangilia goli |
Licha ya Alexandre Lacazette kuipa Arsenal bao la kuvuta machozi, Gabriel Jesus aliipa Manchester ushindi kwa kuifungia bao la tatu.
Arsenal huenda wangepata kipigo zaidi isingekuwa ni jitihada za kipa Petr Cech
mchezaji jesus wa man city alikuwa na kasi na kuiongezea klabu yake matumaini makubwa ya ushindi wa bao 3 |
Mafanikio ya Manchester City dhidi ya Machester United walio nafasi ya pili yatatokana na matokeo ya leo dhidi ya Chelsea
Manchester City (4-3-3): Ederson 6, Walker 6.5, Stones 7.5, Otamendi 7, Delph 6.5, De Bruyne 8, Fernandinho 7, Silva 7.5, Sterling 6.5 (Gundogan 78, 6), Aguero 6.5 (Gabriel Jesus 62, 7), Sane 7 (Bernardo Silva 87).
Unused subs: Bravo, Danilo, Mangala, Toure.
Bookings: Otamendi
Goals: De Bruyne 19, Aguero 50 (pen), Jesus 74
Arsenal (4-3-3): Cech 6, Bellerin 6, Koscielny 6.5, Monreal 6, Kolasinac 5, Xhaka 6 (Wilshere 78, 6), Coquelin 5.5 (Lacazette 56, 7), Ramsey 6.5, Ozil 5, Iwobi 6 (Giroud 78, 6), Sanchez 6.5.
Unused subs: Debuchy, Walcott, Elneny, Macey.
Bookings: Koscielny, Xhaka, Monreal, Sanchez, Lacazette
Goals: Lacazette 65
Referee: Michael Oliver (Northumberland) 6
MOM: De Bruyne
No comments:
Post a Comment