Timu ya San Antonio Spurs itapambana na the Golden State Warriors siku ya ijumaa Asubuhi Ukiangaliwa pamoja ya sifa yake mbaya ya Kuianza ligi hiyo kwa kutopata ushindi mzuri 2017/2018 hawawezi kuhama walipo ila watasogea kidogo na kutia matumaini.
Washindi wa Mara 5 wa ubingwa wamefeli kwa 4-3 kwenye mechi zao 3 mfululizo, ikifuatiwa na 4-0 ulianza lakini waiweza kujirekebisha na kufikia 5-3 wakiwa na Golden State Warriors.
No comments:
Post a Comment