Sunday, 3 December 2017

JONAS SAKUWAHA MBIONI KUMALIZANA NA SIMBA

Simba

klabu ya Simba ipo kwenye harakati za kumalizana na mshambuliaji wa Zesco, raia wa Zambia Sakuwaha, nyota huyu tayari yupo Tanzania kwa ajili ya majaribio yanayotarajiwa kuanza siku ya Ijumaa ya Disemba 2

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...