Sunday, 3 December 2017

Nyota wa serengeti kusajiliwa Mtibwa

Nickson Kibabage wa Serengeti BoysNyota wa Serengeti Boys, Nickson Kibabage amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea klabu ya Mtibwa, kwa mujibu wa mtandao wa binzubeiry

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...