
Klabu ya Yanga imevutiwa na huduma ya mshambuliaji wa Nkana Rangers ya Zambia, Adam Ziriku raia wa Ghana, straika huyo pia ananyemelewa na klabu ya nchini Afrika Kusini, Baroka Fc anayochezea Mtanzania Abdi Banda, kwa mujibu wa gazeti la Mwanaspoti la Jumamosi Disemba 2
No comments:
Post a Comment