Antony Joshua kupigana na Parker kama promoter wa mpinzani wake atakubaliana na masharti ya joshua
parker hapo juu akija kupigana na joshua utakuwa mchezo mkali sana kwenye ndondi kama ilivyokuwa kwa wachezaji wa zamani kwakuwa hawa ndio miamba ya ngumi za uzani wa juu. Eddie anasema mazungumzo yanaendelea kati ya pande zote mbili |
No comments:
Post a Comment