Sunday, 3 December 2017

Liverpool inajiandaa kumchukua nyota wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang

Liverpool preparing Pierre-Emerick Aubameyang bid as Daniel Sturridge looks set to leave – Transfer report
klabu ya liverpool inajiandaa kumchukua mchezaji wa klabu ya Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang kwa ajili ya kuziba pengo la mchezaji Daniel Sturridge ambaye anatazamiwa kuondoka, na mazungumzo hayo yanalengwa sana mwezi januari kwenye dirisha dogo japo kuwa bado haijafahamika mchezaji nyota huyo wa liverpool atakwenda kwenye kalbu gani 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...