Friday, 26 January 2018

federer asonga mbele baada ya chung kujitoa

Australian Open 2018 Roger Federer Hyeon ChungRoger Federer amemtoa mpinzania wake kutoka korea Hyeon Chung kwa seti 6-1 5-2 ambapo roger amemsifia mchezaji huyu pamoja na kwamba amemshinda ila amesema aligundua kulikuwa mapungufu kwa mchezaji huyu ambaye pamoja na hilo niliona bado alijitahidi sana kuhakikisha anatetea nafasi hii.Federer ambaye yeye ameingia kwa mara ya saba sasa kwenye nusu fainali baada ya kumtoa Chung, anasema chung ni mtu mzuri na umri wake unamruhusu kufanya mambo makubwa zaidi. 

Chung Hyeon Chung alijitoa kwenye mchezo baada ya kuonekana na matatizo mengi ya kiafya na kimchezo.Hyeon Chungwachambuzi walieleza jinsi mchezo ulivyoonza na jinsi chung alivyoonekana kwa federer ni ukakamavu pamoja na mwenye kujiamini lakini baadae dakika ya 6 alionekana kama kuchechemea akionyesha mguu wake wa kushoto ulikuwa na shida. 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...