kocha zinedine zidane amekaa na wachezaji wake muda mrefu zaidi akiongea nao baada ya timu yake kutoka sare ya 2-2 na celta vigo hadi kufikia hatua ya kuchelewa kufanya mahojiano na waandishi wa habari.
sare hii itawafanya wawenyuma kwa alam 8 chini ya mahasimu wao Barcelona ambao wao walipata ushindi. kitu ambacho kinamuumiza kichwa kocha huyu wa real madrid kwakua anajua anakazi kubwa sana ya kuweza kurudi katika mbio za ushindi tena baada ya kuachwa umbali wote huo.
shukrani kwa gareth bale ambaye amefunga magoli yote mawili kwa timu yake japokuwa haikuondoka na ushindi. |
timu ya real madrid imeonekana kuwa haiko imara sana kwa sasa kitu kinachopeekea kukosa ushindi na kuwakosesha mashabiki raha ya klabu yao.
No comments:
Post a Comment