Sunday, 7 January 2018

vituko vya ngumi kwa tyson Fury

Tyson Fury amesema yuko tayari kupigana na Anthony Joshua kwenye mchezao wake wa kwanza tangu kufungiwa miaka 3 iliyopita.
Mshindi wa ubingwa mzito huyu miezi iliyopita alichagua kupigana baada ya kuwa kimya tangu kufunguliwa kutoshiriki mchezo wa ngumi kutokana na ktumia madawa ya kuongeza nguvu.

Antony joshua ndio mfalme wa ngumi za uzito wa juu

Na Fury alisisitiza kwamba hatafanya mazoezi yoyote kwa aliji ya mchezo huo yuko tayari kupigana bila mazoezi.

“kwenye michezo hii ni changamoto nilikuwa muda mwingi nje ya mchezo na nimeomba mchezo na Anthony Joshua ndani ya miaka 2.5 sijapigana!,” ali tweet. 

Joshua Parker anajiandaa kupigana na joshua mwenzake

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...