Mohamed salehe anaweza kefan ya vitus ambavyo Owen ,suarez na Torres banda ya kuone kuwa vizuri zaidi katika kikosi chake cha Liverpool.
Salah akiwa na klopp kocha wake baada ya kufunga goli la ushindi.Mafanikio aliyonayo yeye kwenye Assist na magoli yanaelekea kuwazidi wakongwe waliokuwa na rekodi pale Anfield.
Mo Salah amefikisha magoli 9 kwenye mechi 12 katika michuano ya kufuzu kombe la dunia kitu ambacho mkongwe Robbie Fowler alikuwa na magoli 8 kwa Idadi ya mechi 12 kwenye michuano kama hii
No comments:
Post a Comment