Sunday, 12 March 2017

VIdeo Mpya ya temba na chege GO DOWN

Baada ya kukaa kimya muda mrefu bila kuachia ngoma ya pamoja, Chege Chigunda na Temba wametuletea hii single mpya waliyomshirikisha mwanadada Emmy inaitwa “Go Down”, Ukishamaliza kuitazama usisahau kuacha comment yako ili wajue watu wao wameipokeaje.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...