Sunday, 20 September 2015

MAFURIKO YA LOWASA KIGAMBONI

lowasa alivyosimamisha kigamboni leo yaani watu ni macho kwa lowasa watu melfu kwa maelfu wahudhuria waahidi kumpa kura kwa wingi uliokuwepo
chadema hawatumii malori wala nini ila watapata watu wa kutosha sana ndugu zangu kuweni makini sana taifa la tanzania ni letu

LOWASSA NGOYAI EDWARD NI RAISI WETU KIPENZI KIGAMBONI WANAMABADILIKO
JIONEEE KWA PICHA........

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...