- De bruyne amefunga dakika ya 25 goli kwa man city
- Dier akifunga dakika ya 45(1)
- Alderweireld dakika ya 50(2)
- kane dakika ya 61(3)
- lamela dakika ya 79(4)
- Erik Lamela amefufunga goli kutokana na shuti la Clinton N'Jie kumfikia
- Harry Kane amefunga goli lake la kwanza kwa msimu huu na kufanya 3-1
- Toby Alderweireld rose amekuwa kinara wa kupiga mashuti ya hadhabu nyumbani
- Eric Dier levelled akionyesha umairi wake baada ya kuifungia timu yake
- Kevin De Bruyne akiipa goli la kwanza kwenye mchezo wake na timu ya tottenham
- Tottenham team: Lloris; Walker, Alderweireld, Vertonghen, Davies; Alli, Dier; Eriksen, Son, Lamela; Kane
- wachezaji wa akiba w: Vorm, Rose, Trippier, Carroll, Chadli, Townsend, Clinton
- Manchester City team: Caballero; Sagna, Demichelis, Otamendi, Kolarov; Fernando, Fernandinho; De Bruyne, Sterling, Toure; Aguero
- wachezaji wa akiba: Hart, Kompany, Zabaleta, Nasri, Navas, Roberts, Barker
- goli kipa wa klabu ya man city Joe Hart yuko nje baada ya kupata majeraha kwenye mazoezi
- Vincent Kompany hakuwa vizuri na nafasi yake kuuchukuliwa na George evans
- harry kane akipata gooli lake la kwanza kwenye msimu wa ligi
- Toby Alderweireld akiwapa goli la kuongoza baada ya man city
- goli la la dier akifunga toka mbali
- De bruyne akishangilia baada ya kufunga
Saturday, 26 September 2015
manchester city lalazwa na tottenham 4-1 manchester city aafungwa magoli mazuri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...
-
MAISHA ni vita bwana. Ili uweze kushinda, lazima upambane kweli. Wapo wanaoamini kuwa ‘kutusua’ kimaisha lazima uwe umesoma lakini huen...
-
KWA NINI WATOTO HUPOTEZA HAMU YA KULA? Kukosa hamu ya kula ni tatizo la kawaida kwa watoto ambalo hupelekea wazazi wengi kuwa na wasiwasi...
-
Mao alikuwa kiongozi Kichina Kikomunisti na mwanzilishi wa Jamhuri ya Watu wa China. Yeye alikuwa kuwajibika kwa sera za maafa ya ...
No comments:
Post a Comment