- beki wao wa kushoto ashley young alikuwa hajapata nafasi nzuri kimchezo ndio maana mpira ukawa wa upande mmoja
- arsenal waliingia kwa kauli yao moja kwamba wafunge goli mapema zaidi kuliko na kabla ya manchester united
- antony marshal amezidi kuwa mwiba kwa timu za uingereza
- alex sanchez awatesa mashabiki wa klabu ya manchester united kwenye mchezo wa jumapili
- manchester walala kwa goli 3 - 0 dhidi ya arsenal
Per Mertesacker akishangilia goli la ushindi dhidi ya manchester united 3-0 siku ya jumapili
mchezaji antony marshal wa manchester united akiwania mpira pamoja na per Mertesacker
goli kipa de gea akifungwa goli kutoka kwa sanchenz katika mchezo wao na manchester united
uwanja wa arsenal
No comments:
Post a Comment