Edua chile walienda mbele kama mabingwa kwenye mchezo wa kopa amerika baada ya kuilaza timu ya berazili .
vagas akishangilia goli alilofunga baada ya kupiga mpira wa adhabu kwa timu ya brazili
Brazil waliokuwa wakicheza bila nyota wao anayechezea Barcelona Neymar, walilazwa 2-0 ugenini Chile mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia Urusi 2018.
Chile walishinda kupitia mabao mawili ya kipindi cha pili kutoka kwa Eduardo Vargas na Alexis Sanchez.
Neymar anatumikia marufuku ya mechi mbili za mwisho kati ya nne alizosimamishwa kucheza miezi mitatu iliyopita wakati wa Copa America. Pia atakosa mechi ya wiki ijayo dhidi ya Venezuela
Brazil vergas akipiga mpira wa adhabu dhidi ya brazili
Nyota wa arsenal na mchezaji wa zamani wa barcelona alexis sanchez akionyesha furaha yake baada ya kufunga goli lake kwenye mpira dhidi ya brazili
No comments:
Post a Comment