http://vod.aka.oss1.performgroup.com/ePlayer2/20151013/dt7csag21kxj1cae1cae90y4j_1800000.mp4
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Liverpool ya Uingereza na timu ya taifa ya Ufaransa Djibril Cisse ameingia kwenye headlines asubuhi ya October 13 baada ya kukamatwa kwa kosa la kuvujisha mkanda wa ngono. Djibril Cisse ni moja kati ya watu waliokamatwa Jumanne ya October 13 Versailles Ufaransa. Mshambuliaji huyo wa zamani wa vilabu vya Liverpool, Auxerre, Marseille, Sunderland, Lazio na Panathinaikos
Djibril cisse akiwa na mchezaji mwenzake waliotuhumiwa naye
Djibril Cisse na Mathieu Valbuena
akiwa marseile mwaka 2008 na mchezaji mwenzake
akishangilia goli akiwa sunderland
akishangilia goli akiwa QPR ya uingereza kama timu yake ya mwisho uingereza
No comments:
Post a Comment