sio neema tena kwa klabu ya chelsea baada ya kocha wao kuwekwa nje mechi moja pamoja na faini ya sh paundi 50,000
morinho akionyesha huzuni kubwa baada ya kupigwa faini na adhabu kutoka kwa FA
nafikiri duniani tunaishi tuu kwasababu tunahitaji pesa sasa mnaponikata shiling paund 50,00 hizi ni sawa na shilingi 168,985,223
Bosi wa timu ya Chelsea Jose Mourinho ameshtakiwa na shirikisho la kimataifa la soka FA kwa madai yake kwamba kuna kampeni ya chinichini inayofanywa na marefa dhidi ya timu yake
Kauli hiyo ya Mourinho aliitoa baada ya kutoridhishwa na penati ilisababisha timu yake itoke sare ya moja moja na Southampton ,mwezi uliopita mnamo tarehe 28.
Mourinho ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu na amepewa muda mpaka tarehe 13 ya mwezi huu kujibu tuhuma zinazomkabili
kocha huyu aliyakubali haya kwa utovu wa nidhamu ndani ya FA
lakini anashangaa kwanini kwa kocha mwenzake wenger hajafanyiwa kama yeye baada ya kumsukuma mwaka 2014 siku ya mchezo wao ?
No comments:
Post a Comment