ugaidi ufaransa. ndugu watatu wahusishwa kwenye ugaidi na kukimbia
kaka watatu wahusishwa kwenye ugaidi.
nchi zinazounda kundi la G20 zakutana kuimarisha ulinzi mipakani
briton ameripotiwa kufa kwenye mauwaji haya
watu 129 wafariki na wengine 352 kujeruhiwa
watu wakidondosha machozi katika eneo lilipofanyikia mauwaji hayoo nje ya mgahawa La Belle Equipe
Ibrahim na Salah Abdeslam hawa ni watu wenye utaifa na wazawa wa ufaransa waliyotekeleza mauwaji haya
watu wengine wameripotiwa kuwa walikuwepo kwenye shambulio hili wakiwa na asili ya ubelgiji
kila taifa linaripoti kutokana na idadi ya watu au wananchi iliyokuwa nayoooo
obama aapa kupambana mara dufu na wauwaji waliyoshiriki kwenye mauwaji ya ufaransa akisema atapambana zaidi na IS
watu wamepoteza wapenzi wao sana
No comments:
Post a Comment