Friday, 27 November 2015

waziri mkuu kasimu majaliwa bandarini

Hii inakuwa ziara ya tatu kwa viongozi wa juu wa Tanzania kufanya Ziara za kushtukiza katika ofisi na wizara mbalimbali za Serikali.
Tulishuhudia siku ya pili baada ya Rais Dr. Magufuli kuapishwa, asubuhi yake alifanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha na kujionea hali halisi, haikuishia hapo tena hospitali ya taifa Muhimbili na kukuta changamoto ya vitanda vya wagonjwa na dawa.
Leo Nov 27 headline ikiwa ni siku saba tangu kuapishwa kwa Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa, amefanya ziara ya kushitukiza katika bandari ya Dar es salaam.
Kaa karibu na mimi ili nikusogezee mwendelezo wote wa kitakachojiri…
Waziri Majaliwa Bandarini Dar


No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...