ajali hiyo ilitokea majira ya mchana siku ya juma pili wakati akiwa anasafiri kwenda kwenye shughuli zake.
alichukuliwa na kupelekwa katika hospitali ili aendelee kupata matibabu zaidi.
klabu hii imethibitisha kuwa mchezaji beki wao mwenye umri wa miaka 26 aliumia paja pamoja na taya kwaiyo yupo hospitali kwaajili ya matibabu zaidi.
pape ataendelea kuwa pale kwa uangaliazi wa daktari hadi atakapopata nafuu.
askari wa england wamesema hajaumia sana kiasi cha kuatarisha maisha yake.
tumuombee mungu apone ili tupate kumuona tena kwenye soka
No comments:
Post a Comment