Monday, 5 December 2016

ALIKIBA AFANYA BIRTHDAY PARTY KUBWA

ac9f62f5-1d1d-4044-877e-38366bb5094eNi nadra kuona Alikiba akifanya sherehe kubwa kwaajili ya birthday yake.
0c0acf02-a361-4b13-8255-1ac97a92c1e4
ac9f62f5-1d1d-4044-877e-38366bb5094e
Lakini mwaka huu muimbaji huyo wa Aje aliamua kufanya kitu tofauti.
d3250638-fa6f-4688-bf56-4b2dc4878802
0c0acf02-a361-4b13-8255-1ac97a92c1e4
Nimeuuliza uongozi wake sababu ya mwaka huu kufanya sherehe kubwa na tena mbugani. “Yes ni mara chache hufanya party on his birthday,” amesema mmoja wa mameneja wake.
a5f07920-8874-44ab-9527-7cc2f51f74c4
76ca055d-bc10-4330-86db-287304fa6242
“Aliamua kuja mbugani kwa sababu kuu ni kwa sababu anapenda wanyama pili ni kutumia jina lake kutangaza utalii wa ndani,” aliongeza.
Wafanyakazi wa makampuni mbalimbali ya mbugani yaliungana na uongozi wake kusherehekea siku yake hiyo muhimu ambayo ametimiza umri wa miaka 30.
Chini ni picha zaidi za party hiyo.
05fdccb7-0f4b-44b7-9579-9c47069b23fb
07e882b5-d2ae-48a6-8b4e-0e9f6d622888
76ca055d-bc10-4330-86db-287304fa6242
28062aa2-4e5c-4bb8-9eeb-a542b8657366
a5f07920-8874-44ab-9527-7cc2f51f74c4
c29bd3cc-c6fd-48eb-9e89-1196c31e6f49
d3250638-fa6f-4688-bf56-4b2dc4878802

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...