antonio konte akiwasimamia wachezaji wake wa kikosi cha kwanza kwenye uwanja wa stamford bridge kabla hajaenda etihad kwa mazoezi
konte anamsifia kocha wa man city ambaye alikuwa kocha wa barcelona na bayern muchen kwa kuweza kuendana na ligi mapema
licha ya man city kuonekana wazuri wakati wa mwanzo ila baadae alipoteza mwelekeo hadi juzi kuonyesha uhai.
konte asema kila timu ina namna yake ya kucheza, man city wao ni mpira mwingi ila mimi ni moja kwa moja hadi golini.
beki wa chelsea david luis akiangalia kwenye anga baada ya kufunga kwenye mazoezi
konte yeye anaongoza ligi akiwa kileleni akiwa juu ya manchester city ambaye yeye ni wa tatu.
chelsea inataka kuendeleza wimbi lake la ushindi la kutokufungwa mechi 8 mfululizo.
Je? guardiola atamuachia ashinde mechi hii.
ushindi wa chelsea huo hapo
October 1 Hull City (A) 2-0
October 15 Leicester City (H) 3-0
October 23 Manchester United (H) 4-0
October 30 Southampton (A) 2-0
November 5 Everton (H) 5-0
November 20 Middlesbrough (A) 1-0
November 26 Tottenham (H) 2-1
No comments:
Post a Comment