nyota huyu wa barcelona alitoka kupata tuzo ya katalan mchezaji wa mwaka
nyota huyu atajumuishwa kwenye kikosi cha el classico jumamosi.
gerard ana umri wa miaka 29
mchezaji huyu ametumia muda mwingi na familia yake hivyo atakuwa sawa kucheza jumamosi.
alikuwa kwenye tuzo pamoja na familia yake, na kwenye muziki na familia pia
pia hapa shakira aliondoka na tuzo ilikuwa ni wiki ya furaha kwao
watoto wao wanaitwa sasha and milan
wakati pique akijaribu kujipa mafunzo ronaldo yuko bize anafanya utaratibu wa kuzindua marashi yake.
No comments:
Post a Comment