gabriel aonyesha hisia zake baada ya kushindwa kuongea kwenye mahojiano baada ya mechi dhidi ya southampton.
gabriel amesimulia kuwa alikuwa rafiki sana na wakaribu na kocha wa klabu chapecoence Caio Juniour iliyopata ajali na katika majina yaliyotajwa huyo kocha yupo.
beki huyu mbrazili anayechezea arsenal ameonyesha simanzi kubwa baada ya kushindwa kuvumilia.
gabriel akitokwa na machozi baada ya kuojiwa na kuzungumzia hili swala la ajali
gabriel akionyesha sapoti kwa klabu iliyopata ajali ya ndege.
ajali hii iliuwa watu 71, na watu 6 tu ndio waliopona tu katika watu wote hao.
hii ni miili ya watu waliopata ajali katika safari ya ndege kuelekea colombia
gabriel aliwaambia wenzake linalowezekana leo lifanyike leo leo usisubiri kesho maana hujui itakuwa vipii
raisi anayekaimu anasisitiza kwamba timu itajijenga na bado ilikuwa changa haikuwa na pesa ya kutosha kufanya usajili hivyo inahitaji pesa kwa ajili ya kuwapata wachezaji wa kijenga tena timu hii.
No comments:
Post a Comment