Lukaku na Barkley kujiunga na chelsea wote kwa ujumla wakifikisha thamani ya shilingi paundi milioni 100( £100 million)
lukaku amegoma kusaini mkataba mpya na thamani yake ni paundi milioni 65 wakati huo huo mwenzake Barkeley yeye akiwa na thamani isiyopungua milioni 35
lakini huyu barkley yeye amekubali kwamba atasaini mkataba mpya kwenye klabu hiyo
No comments:
Post a Comment