Thursday, 16 March 2017

UWANJA WA ROSTOV WAFUNGIWA


Siku chache baada ya Kocha Jose Mourinho kuushambulia uwanja unaomilikiwa na klabu ya Rostov ya Russia, taarifa zimeeleza umefungiwa.


Rostov waliocheza na Man United katika Europa League na kupata safe ya 1-1, Uwanja wao wa Omlip 2, umefungiwa katokana na ubovu.

Sasa mechi hazitachezwa katika uwanja huo hadi hapo marekebisho yatakapofanyika.

Mourinho na wachezaji wa Man United walilalamika kuhusiana na ubovu wa uwanja huo uliojaa tope kupita kiasi huku nyasi zikiwa ni vipara.

Kocha huyo wa manchester united alitoa malalamiko yake kwa uongozi na waandaaji wa michezo Europa japokuwa walimlazimisha kucheza, yote hayo yalikuwa ni madai ya kimsingi sana kwa kuwa sheria namba moja ya mpira wa miguu ni uwanja. 

hivyo basi sheria ya kwanza kabisa ilivunjwa japo kuwa sio kwa asilimia zote 



No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...