| Rudy Gestede akifunga goli mahiri kabisa la kutolea machozi kwa timu ya Middlesbrough |
| Valencia aliihakikishia ushindi Man united baada ya kufunga goli la tatu kabla filimbi ya mwisho kupulizwa |
| Wachezji wote wa timu mbili wakiwa katika mtafaruku uliotokea kati ya Rudy Gestede na Eric bailly |
| Jesse Lingard akiwa mwenye furaha baada ya kufunga goli la pili kwa upande wa Man United |
| Fellaini na Lingard wakishangilia |
| Marouane Fellaini akifunga goli kuongoza kwa Man u ndani ya dakika 30 za mchezo huo |
Ni baada ya ushindi wa magoli Middlesbrough 1-3 Manchester United
No comments:
Post a Comment