Golikipa Willy akishangilia mara baada ya Aguero kusawazisha goli lililotangulia kufungwa na Milner wa Liverpool |
Aguero akisawazisha goli Katika mechi iliyoisha na sare ya Man city 1-1 LIverpool |
Liverpool wakishangilia goli lililofungwa na Milner |
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...
No comments:
Post a Comment