Cristiano Ronaldo na Bale wakiwa mazoezini kabla ya mechi yao dhidi ya Betis. machezaji hawa hawajawahi kuonekana kuwa na ushirikiano mzuri katika klabu hiyo hivyo hali hii inaashiria mazuri mbeleni
watu wengine ambao nao walionekana kutokuwa sawa ni modric na benzema lakini hapo wameondoa tofauti zao ili kufanya mpira na ushindi zaidi kwa timu yao
zinedine alionekana kuwa na furaha na shauku yake ni kuendeleza kipigo kwa betis ambapo mzuko wa kwanza real madrid walishinda goli nne kwa 1
No comments:
Post a Comment