Jose mourinho na Antonio Conte katika ubora wao ndani ya uwanja wa Old Trafford |
Viungo mahili wa timu mbili wakipigania mpira |
Ander Herrea akifunga bao la kushindilia ushindi wa Man U |
Mlinda mlango mahili wa Man U, David De Gea akishangilia na kufurahia ushindi wa timu |
Wachezaji wa Manchester United wakishangilia goli la ufunguzi kutoka kwa Marcus Rashford |
Chelsea yapata majonzi katika sikukuu ya pasaka ni baada ya kufungwa na Manchester United 2-0, magoli ya Man U yamefungwa na Marcus Rashford na Ander Herrera |
No comments:
Post a Comment