mamia ya walinzi wakishindana na mashabiki wa bastia wakiwasubiria basi la lyon. lakini polisi walitumia weledi wao kuhakikisha wamefanya utulivu.
polisi wa kuzuia ghasia walibidi kuongezwa ili kuongezea nguvu ya kuwatawanya mashabiki wa bastia wakati wakiwa wanasubiria basi la lyon ili walipige mawe na vitu vingine vibaya zaidi.
wachezaji waliokuwa wakiingia ndani ya gari walizuiwa kama lisaa limoja kwa ajili ya kupisha ukaguzi wa uhakika kwenye njia nzima.
kabla ya mchezo kabisa wachezaji a lyoni wenye rangi nyeupe walivamiwa pamoja na walimu wao na mtu aliyevalia nyekundu, huu ulikuwa muda ambao wanapasha kwa mazoezi mepesi kabla ya mpira
mchezaji wa zamani wa manchester united memphis depay akiwa mbele ya shabiki wa bastia aliyetaka kumpga.
polisi wakiwatawanya mashabiki wa bastia kwa mabomu ya machozi waliokuwa wakipiga basi la lyon kwa mawe baad ya mchezo kuvunjika
hapa ni mashabiki wa bastia wakiwa ndani ya uwanja wakiwapiga wachezaji wa lyon lakini walinzi wa uwanja wakiwa makini kuwazuia wasiwadhuru wachezaji.
klabu ya lyon wakimbia uwanjani baada ya kuvamiwa na mashabiki wa klabu ya bastia wakati wa mchezo wao.
No comments:
Post a Comment