tangu Warriors waiangushe Cavs na kuchukua ubingwa wa mwaka 2017 wa NBA June 12, timu zote NBA zimefanya mabadiliko makubwa sana kwa timu zao kwa ajili ya kuhakikisha wanapata ushindi.
NBA.com’s Shaun Powell ameainisha kila timu na gharama walizotumia pamoja na wachezaji waliotoka na walioingia kwenye klabu.
Timu za leo: Orlando Magic
rekodi ya mwaka 2016/17 : 29-53
walio wapya: Jonathan Isaac (Draft), Jonathon Simmons (free agency), Arron Afflalo (free agency), Shelvin Mack (free agency), Marreese Speights (free agency)
waliondoka: Jeff Green (signed with Cavs), Jodie Meeks (signed with Wizards), CJ Watson (waived)
The lowdown: hii timu haijapoteza kikubwa na imeshabadilisha makocha wanne lakini bado haikufanikiwa kucheza michuano mikubwa hadi sasa.
No comments:
Post a Comment