wadau wa mpira na mashabiki wa PSG wanategemea burudani na mpira mzuri kwa kijana huyu ambaye msimu ujao atakua mchezaji wa pili kwa kuwa na gharama kubwa duniani baada ya Neymar kuwa ni mchezaji mwenye gharama kubwa zaidi duniani |
Swali la kujiuliza Je, kijana huyu ataweza kufanya maajabu yake pale PSG kama alivyofanya msimu ulipita???
|
No comments:
Post a Comment