Leonardo Bonucci na Gonzalo Higuain wametajwa kama wachezaji wanaolipwa mishahara ghali zaidi kwenye ligi ya Serie A kwa £6.86m kwa mwaka na wachezaji wa Juventusndio wengi zaidi.

Leonardo Bonucci anapokea mshahara wapaundi £6.86m baada ya kuhama Juventus kwenda Milan msimu huu.


kocha wa Juventus Massimiliano Allegri ndiye kocha anayelipwa mshahara mrefu zaidi Serie A

Mchezaji wa Juventus Paulo Dybala amesaini mkataba mpya wa kitita cha £6.4mkwa mwaka.
kocha wa Milan Vincenzo Montella analipwa £2.74m, wakati kocha wa Roma Eusebio Di Francesco anatengeneza £1.37m.
Miongoni mwa ambao wanalipwa mshahara mrefu ni kipa Gianluigi
Donnarumma (£5.49m), Miralem Pjanic (£4.1m), Radja Nainggolan (£3.84m)
and Sami Khedira (£3.66m).
No comments:
Post a Comment