Sunday, 22 October 2017

slaven bilic apewa muda wa kujirekebisha

kocha wa klabu ya westham amepewa muda zaidi wa kujirekebisha na bosi mmiliki wa klabu hiyo yenye makao yake huko nchini uingereza baada ya klabu hiyo kuonekana kuwa na shida katika ligi hiyo.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...