Asensio akishangilia goli lake la ushindi aliloifungia klabu yake japo kuwa kocha zinedine zidane amekuwa akimpuuzia na kudharau mchango wake |
Goli la casemiro hilo hapo |
Asensio Hili ni goli lake la nne kwenye msimu huu akiwa na klabu yake |
Manyambizi Villarreal wakautumia vyema uwanja wao wa De la Ceramica kwa kupata ushindi wa mabao 2-0 kwa kuwafunga Malaga.
Isco akipigilia msumari wake wa mwisho kwenye ushindi wa klabu yake |
Matokeo ya michezo mingine ya La liga
Levante 1 - 2 Girona
Celta Vigo 3 - 1 Athletic Bilbao
Real Sociedad 3 - 1 Eibar
takwimu hizo hapo
Real MadridLas Palmas
- Possession
- 59%
- 41%
- Shots
- 27
- 2
- Shots on Target
- 9
- 1
- Corners
- 9
- 2
- Fouls
- 9
- 9
No comments:
Post a Comment