Barcelona 2-2 Celta Vigo: Lionel Messi na Luis Suarez walijaribu
kufunga lakini wapinzani walikuwa wagumu Zaidi na kufanya mchezo huo kuwa sare
pale Nou Camp
Iago Aspas alifunga goli la mapema kwa timu yake
Lakini dakika chache baadaye Lionel Messi alisawazisha kwa miamba hawa
wakiwa nyumbani
Suarez alifunga goli
lililoifanya Barcelona kuongoza baada ya mapumziko.
Celta Vigo walikuwa bado hawajamaliza kutoka kwa mchezaji
wao - Maxi Gomez alipiga mkwaju mzuri tu baada ya pasi kutoka kwa Aspas
Aspas akishangilia goli lake la ufunguzi katika uwanja wa Neu Camp
No comments:
Post a Comment