Sunday, 3 December 2017

Neymar Kuhamia Real Madrid mwisho wa Msimu huu


Neymar is likely to stay at PSG for longer than manager Unai Emery and Edinson CavaniNeymar's kuishangaza dunia kwa uhamisho kwenda  Real Madrid , je utakuwa ndio uhamisho ghali au atapenda tu kubaki pale PSG?
Kuna uvumi uliopo kwamba Neymar hayuko poa pale PSG
Lakini utakuwa mshangao kumuona antoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu
Anatamani kufanya tena uhamisho mkubwa kabla ya muda wake kuisha.
Real Madrid's wako tayari na wanamuwinda mchezaji huyu
Neymar hataweza kubaki pale Ufaransa daima na vyombo vya habari vya michezo vingi vimeliona hilo


Neymar has had very public problems with his attacking partner Cavani while at PSGNeymar alikuwa hayuko vizuri na mchezaji mwenzake Cavani

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...