Friday, 1 December 2017

Big Sam Allardyce kuinoa Everton kwa mkataba wa miezi 18.

Sam Allardyce in the stands with Everton owner Farhad Moshiri, right, prior to the English Premier League soccer match against West Ham United at Goodison Park, Liverpool, England, Wednesday Nov. 29, 2017. (Peter Byrne/PA via AP)Klabu ya soka ya Everton ya Uingereza imempa kibarua cha kuinoa klabu hiyo meneja Sam Allardyce.
Allardyce amesema ana furaha na faraja kujiunga na klabu ya Everton.
Big Sam mwenye miaka 63 kocha wa zamani wa timu ya taifa ya England amesaini mkataba utakaomuweka klabuni hapo mpaka mwaka 2019 akichukua mikoba ya Ronald Koeman aliyetimuliwa mwezi Oktoba baada ya timu hiyo kuanza ligi vibaya.
Allardyce amekuwa nje ya uwanja tokea alipoachana na klabu ya Crystal Palace mwezi Mei.
Ni mashuhuri sana kwa kuzisaidia timu ambazo zinakaribia kushuka daraja zisailie kwenye EPL

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...