Amekiri hilo kwa mara ya kwanza alipokuwa akihojiwa kuhusiana na maisha yao na jarida moja.Aliambia jarida la Style la gazeti la The New York Times kwamba alijiwekea vizuizi kutokana na matatizo aliyokumbana nayo alipokuwa mtoto, jambo ambalo lilimfanya kujifungia na kuwa uzinifu.
''Kitu kigumu ni kuona uso wa mtu uliojaa huzuni uliosababishwa na wewe, alisema Jay -Z."
Wanandoa hao walikuwa wamedokeza kuhusu Jay-Z kutokuwa mwaaminifu kwenye nyimbo zao.Mwanamuziki huyo amesema kwamba wangetalikiana lakini alipata ushauri nasaha ili kumsaidia kukabiliana na matatizo yake ya hapo awali
No comments:
Post a Comment