Friday, 8 December 2017

Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka 2017, afikisha tuzo ya tano sawa na mhasimu wake Lionel Messi

Cristiano Ronaldo has won the Ballon d'Or for a record-equalling fifth time in a glamorous ceremony in the French capital
Christian Ronaldo anyakua tuzo yake ya tano ya Ballon d'Or usiku wa tarehe 7 desemba 2017akiwaacha wapinzani wenzake Messi na Neymar.

Mchezaji huyo machachari wa Real madrid amekuwa sawa na Lionel Messi kwa kuchukua tuzo hizo maarufu duniani

Ronaldo was unveiled as the winner of the Ballon d'Or award as the superstar stood on a podium attached to the Eiffel Tower
Ronaldo akiwa na tuzo yake ya tano

Ronaldo was then joined on stage by his mother Maria Dolores dos Santos Aveiro and son Cristiano Ronaldo Jr on Thursday
mchezaji ronaldo akiwana mama yake Maria Dolores pamoja na mtoto wake Ronaldo Jr.
wachezaji waliopata kura na nafasi zao kwenye msimamo wa ushindi

1. Cristiano Ronaldo - Real Madrid
2. Lionel Messi - Barcelona 
3. Neymar - Paris Saint-Germain
4. Gianluigi Buffon - Juventus
5. Luka Modric - Real Madrid 
6. Sergio Ramos - Real Madrid
7. Kylian Mbappe - Paris Saint-Germain
8. N'Golo Kante - Chelsea
9. Robert Lewandowski - Bayern Munich
10. Harry Kane - Tottenham
11. Edinson Cavani - Paris Saint-Germain
12. Isco - Real Madrid
13. Luis Suarez - Barcelona
14. Kevin De Bruyne - Manchester City
15. Paulo Dybala - Juventus
16. Marcelo - Real Madrid
17. Toni Kroos - Real Madrid
18. Antoine Griezmann - Atletico Madrid
19. Eden Hazard - Chelsea
20. David De Gea - Manchester United
21. Leonardo Bonucci - Juventus
21= Pierre-Emerick Aubameyang - Borussia Dortmund
23. Sadio Mane - Liverpool
24. Radamel Falcao - Monaco
25. Karim Benzema - Real Madrid
26. Jan Oblak - Atletico Madrid
27. Mats Hummels - Bayern Munich
28. Edin Dzeko - Roma
29. Dries Mertens - Napolo
29= Philippe Coutinho - Liverpoo1. Cristiano Ronaldo - Real Madrid
2. Lionel Messi - Barcelona 
3. Neymar - Paris Saint-Germain
4. Gianluigi Buffon - Juventus
5. Luka Modric - Real Madrid 
6. Sergio Ramos - Real Madrid
7. Kylian Mbappe - Paris Saint-Germain
8. N'Golo Kante - Chelsea
9. Robert Lewandowski - Bayern Munich
10. Harry Kane - Tottenham
11. Edinson Cavani - Paris Saint-Germain
12. Isco - Real Madrid
13. Luis Suarez - Barcelona
14. Kevin De Bruyne - Manchester City
15. Paulo Dybala - Juventus
16. Marcelo - Real Madrid
17. Toni Kroos - Real Madrid
18. Antoine Griezmann - Atletico Madrid
19. Eden Hazard - Chelsea
20. David De Gea - Manchester United
21. Leonardo Bonucci - Juventus
21= Pierre-Emerick Aubameyang - Borussia Dortmund
23. Sadio Mane - Liverpool
24. Radamel Falcao - Monaco
25. Karim Benzema - Real Madrid
26. Jan Oblak - Atletico Madrid
27. Mats Hummels - Bayern Munich
28. Edin Dzeko - Roma
29. Dries Mertens - Napolo
29= Philippe Coutinho - Liverpool
l

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...