Showing posts with label Mastaa. Show all posts
Showing posts with label Mastaa. Show all posts

Tuesday, 30 January 2018

Mtu wa karibu wa Darasa afunguka kuhusu Darasa kuwa Teja

Image result for darasa

Baada ya kimya cha muda mrefu kwa msanii Darassa ambaye mwaka juzi 2016 alitingisha sana na wimbo wake 'Muziki' kumeibuka tetesi kuwa msanii huyo naye amejiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya, jambo ambalo limewashtua wengi.
Kufuatia tetesi hizo mtangazaji wa kipindi cha Bongo fleva Top 20 ya East Africa Radio, Jr Junior alimvutia waya msanii huyo lakini bahati mbaya hakuweza kupokea simu yake jambo ambalo lilimfanya kumpigia simu mtu wake wa karibu ambaye ni producer wake Mr T Touchez ili kufahamu ukweli juu ya tuhuma au tetesi hizo.

Baada ya Mr T Touchez kupigiwa simu alisema yeye hafahamu lolote juu ya jambo hilo na kukiri kuwa kwa sasa hajakutana na msanii huyo muda kidogo, hivyo hafahamu lolote kuhusu hicho kinachoelezwa kutumia dawa za kulevya. 

Monday, 8 January 2018

pretty kind aomba radhi kwa picha za uchi mtandaoni

Image result for pretty kindMsanii Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amefunguka na kuomba radhi kwa Serikali na Watanzania kwa ujumla kutokana na vitendo vyake vya kupiga na kuweka picha mitandaoni za nusu uchi. Akiongea jana Januari 7, 2018 baada ya kufungiwa na serikali kujihusisha kufanya kazi zozote za sanaa kwa miezi sita, Pretty Kind amesema kuwa amejifunza na kugundua kuwa alikuwa anafanya makosa hivyo sasa hataweza kurudi tena kufanya mambo hayo. 
"Naomba niombe radhi kwa Watanzania wote kwa hiki nilichokifanya natambua nimefanya kosa naomba msamaha aweze kunisamehe, pia naomba msamaha kwa mashabiki zangu kwa hiki kilichotokea nimejifunza hivyo nitakuwa Pretty Kind mwingine mpya na kufanya yale yanayotakiwa katika jamii" alisema 
Pretty Kind amefungiwa kujihusisha na sanaa kwa takribani miezi sita baada ya kuposti picha katika mtandao wake wa Instagram ikimuonyesha akiwa nusu utupu jambo ambalo ni kinyume na maadili ya Kitanzania na kwenda kinyume na maagizo ya Rais John Pombe Magufuli ambayo aliyatoa hivi karibuni kuwataka wasanii wa kike kuvaa kwa staha.

Thursday, 14 December 2017

msikilize adamu mchomvu alivyopandisha mori kwa msani wa marekani kukopi bongo

jokate awafunda vijana katika kutumia muda wao vizuri

Jokate ambaye ni mjasiliamali pamoja na mhamasishaji haswa kwa vijana, kwa sasa yupo katika kampeni ya kuwakumbusha vijana wajibu wao ili waweze kujitambua kupitia kampuni ya Sahara Group inayo saidia kuwapa Elimu vijana juu ya mustakabali wamaisha yao.
''Vijana wasitumie mitandao ya kijamii kujua kuwa Jokate amevaaje leo, au kaweka nywele gani , inatakiwa watafute taarifa mbalimbali ambazo kila wakati hutolewa katika 'Internet' ili ziweze kuwapa ufahamu na pengine kuwasaidia,'' amesema.
Pia Jokate ameendelea kuzungumza kwa kusema, ''Ni vizuri kijana kuwa na kazi yake akijiamulia mwenyewe kwamba leo afanye kazi gani na afanye nini anakuwa huru sana,'' ameongeza
Aidha ameongeza kwa kusema kuwa njia sahihi ya elimu kwa vijana juu ya kujitegemea ianzie vyuoni ili wakati wanapomaliza wanakuwa tayari wameweza kujua njia sahihi ya kuji kwamua.

heri ya kuzaliwa Taylor Alison Swift.

Happy 28th Birthday to the 10x Grammy winning, gorgeous, talented and one of most iconic female artists in the music industry, Taylor Alison Swift. šŸ‘‘

Tuesday, 5 December 2017

sanamu ya nyota wa Argentina Lionel messi yavunjwa

Roho mbaya kila sehemu; Maana kwa mara ya pili mashabiki wamelishambulia sanamu la mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi.

Messi ambaye sasa ni nahodha wa Argentina inayojulikana kama Albiceleste, sanamu lake limeshambuliajiwa na kuvunjwa kwa mara ya pili jijini Buones Aires huko Argentina.

Haijajulikana sanamu hilo limefanyiwa hivyo na watu gani lakini hii ni mara ya pili tokea mwaka 2016 lilipozinduliwa.

Pamoja na Messi kuwa tegemeo la Argentina na pia anaitangaza nchi hiyo, mashabiki wengi wamekuwa hawana furaha kutokana na kitendo chake cha kushindwa kuipa timu hiyo Kombe la Dunia.

maneno ya zidane kwa messi na ronaldo

happy birthday martial

mbwembwe za konte na waandishi wa habari

Sunday, 3 December 2017

mario Gotze akila uroda na mpenzi wake huko spain

Borussia Dortmund midfielder Mario Gotze is enjoying a yacht trip with his girlfriend in Spain
Mario Gotze akila bata na mpenzi wake huko spain
The pair are pictured on a stunning super-yacht in the Balearic Sea just off Majorca
wakiwa kwenye boti wakipigana picha kama kumbukumbu
The pair began their relationship back in 2011 when the player's career was about to take flightwawili hawa walianza mahusiano mwaka 2011 baada ya Gotze kuwika sanaa
The pair share laugh after jumping into the sea in the super-yacht hub of Port Adriano

Saturday, 2 December 2017

Ngasa anaacha historia katika soka la bongo

Katika historia ya kandanda nchini Tanzania majina mengi ya wachezaji wa miaka mbalimbali yamekua yakitajwa, kwa wale waliwashuhudia wachezaji wa miaka ya 1930, 1940 na 1960 watawasimulia wachezaji waliotamba miaka hiyo, na watu wa miaka ya 1970, 1980 & 1990 watawasimulia wachezaji waliotamba kwa miaka hiyo pia, kizazi cha sasa cha miaka ya 2000 kimepata historia kubwa ya wachezaji ambao walifanya vizuri miaka ya 1930-1990, miaka hiyo kuna wachezaji ambao walicheza mpira katika kiwango cha juu sana. Walicheza mpira katika madaraja tofauti lakini sio wote wanaotajwa, wapo wachache sana ambao hutajwa.
Nchi kama Uingereza katika miaka ya 1970,1980 na 1990 yapo majina ambayo yalivuma sana na kuacha historia kama vile Kevin Keegan, Paul Mariner, Mick Mills, lakini miaka ya 2000 karne ya 21 kuna majina pia yamevuma sana na kuacha historia, majina kama David Beckham, Wayne Rooney, Rio Ferdinand, Steven Gerald, Frank Lampard haya ni miongoni mwa majina ambayo yameng’ara sana miaka ya 2000, lakini wapo wachezaji wengi ambao wamecheza ligi hiyo kwa miaka ya 2000 lakini hawakuacha jina lolote la kufanya watu wawakumbuke, kwa mfano ukisema jina kama Hossam Ghaly, Jamie O’hara, Lee Youngpyo Hakuna atakayejua kwa haraka labda kwa wale wadau wa kubwa wa soka, ambao hufatilia sana lakini leo ukitaja Christiano Ronaldo  kila mtu hata asiyefatilia soka kama hajamuona basi amemsikia.
Hapa nikirudi katika soka la Tanzania, kutokana na kuchelewa kwa teknolojia imefanya wapendasoka wengi wa Tanzania wasiwashuhudie wachezaji wa miaka kenda iliyopita, licha ya kutokuwepo hata kwa kumbukumbu za kutosha lakini kuna wachezaji wachache wa miaka iliyopita majina yao yanazungumzwa sana, walipita wengi lakini kuna majina yamekua gumzo sana kama vile Zamoyoni Mogela, Edibily Lunyamila, Leodiger Tenga, Othman Mambosasa,  Peter Tino, King Kibaden Mputa, Juma Pondamali, Sunday na Kassim Manara, haya ni baadhi ya majina ambayo huwa yanatajwa katika historia ya soka la  Tanzania.
Ni jambo kubwa sana mchezaji kuacha jina lake likizungumziwa wakati ameshamaliza karia yake ya kucheza, huo ni upekee mkubwa ambao unahitaji kujitoa, kuwa na nidhamu nzuri, kuwa na uwezo mkubwa na kutoa mchango mkubwa katika timu yake.
Kwa kizazi cha 2000 au karne ya 21 ni dhambi kubwa kuzungumzia wachezaji waliofanya mambo makubwa  bila kumzungumzia MRISHO NGASSA, huyu ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa Pamba ya Mwanza na Simba SC ya Dar es Salaam, Khalfan Ngassa (Babu), Alizaliwa Tar 05/05/ 1989, katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Kijana huyu alipata mafanikio makubwa ya soka akiwa anatumikia timu ya Dar es Salaam Young Africans (Yanga), alijiunga na Yanga mwaka 2006 akitokea Kagera Sugar ya Kagera,  alikua na uwezo mkubwa wa kufunga  alikua ana kasi kubwa akiwa na mpira, alikua msumbufu muda wote, Ngassa huyu ndiye yule ambae aliandikwa katika bango moja kubwa lililoshikwa na mtanzania kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Zambia dhidi ya Taifa Stars katika uwanja wa taifa bango hilo lilisomeka “Who is Samatta we have Ngassa”
Baadhi ya wadau wa soka waliandika hivyo kutokana na mchezaji wa Tanzania na TP Mazembe kipindi hicho Mbwana Samatta kutokuwepo katika mchezo huo. Inahitaji ujasiri mkubwa kusema ivyo lakini Ngassa alithibitisha hiyo kauli kwa kuipatia bao moja la ushindi Tanzania, mpaka dakika ya 90 Taifa stars 1-0 Zambia.
Mrisho Ngassa anakipiga katika timu ya Mbeya City inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara kwa sasa, na tayari muda wake unakaribia kumalizika katika karia ya soka, cha msingi Mrisho Ngassa anaondoka huku anatuachia jina lake, ili vizazi vya badae vikisimuliwa au kusoma wachezaji wa zama zilizopita akiwa anatajwa Sunday Manara, Peter Tino, Zamoyoni Mogela, Kibadeni Mputa basi na yeye awekwe ndani, kuwa na Mrisho Ngassa.
Mrisho Ngassa anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji aliyecheza michezo mingi katika timu ya taifa, pia ndiye mchezaji ambaye anashikilia rekodi ya ufungaji bora wa muda wote, katika timu ya taifa, akiwa amefunga magoli 23. Mrisho Ngassa aliwai kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa mwaka 2009-2010 akiwa Yanga, amekua mfungaji bora wa Ligi ya mabingwa Africa akiwa na goli 6, mwaka 2014, alikuwa mfungaji bora wa CECAFA 2009.
Mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania bara  mwaka 2010-11, mwaka 2009 alitakiwa na Westham United ya England kwa ajili ya majaribio, hakubahatika kufuzu. Mwaka 2011 alifanya majaribio kwenye klabu ya SettleSounders inayoshiriki ligi kuu Marekani, alibahatika kupata nafasi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Manchester United.
Mwaka 2010 alijiunga na Azam FC ya jijini Dar es Salaam akitokea Yanga kwa uhamisho wa rekodi kwa wachezaji wa ndani, baada ya hapo akajiunga na Simba kwa mkopo akitokea Azam, mwaka 2013, alijiunga tena na Yanga, baadae akajiunga na Free State ya Africa Kusini, baada ya hapo akajiunga na Fanja ya Oman na kwa sasa anachezea Mbeya City.
Huyu ndiye Mrisho Ngassa, naamini kwa karne ya 21 anaacha jina lake, kizazi kijacho kitakutana na jina Ngassa, kama kizazi cha sasa kilivyopokea jina la akina peter Tino.
0719332155 (Gharib Mzinga)

Friday, 1 December 2017

Jay Z sijawahi kuwa mwaminifu kwa beyonce

a man wearing a suit and tieMwanamuziki wa rap Jay -Z amekiri kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wengine akiwa bado kwenye ndoa yake na Beyonce.
Amekiri hilo kwa mara ya kwanza alipokuwa akihojiwa kuhusiana na maisha yao na jarida moja.Aliambia jarida la Style la gazeti la The New York Times kwamba alijiwekea vizuizi kutokana na matatizo aliyokumbana nayo alipokuwa mtoto, jambo ambalo lilimfanya kujifungia na kuwa uzinifu.
''Kitu kigumu ni kuona uso wa mtu uliojaa huzuni uliosababishwa na wewe, alisema Jay -Z."
Wanandoa hao walikuwa wamedokeza kuhusu Jay-Z kutokuwa mwaaminifu kwenye nyimbo zao.Mwanamuziki huyo amesema kwamba wangetalikiana lakini alipata ushauri nasaha ili kumsaidia kukabiliana na matatizo yake ya hapo awali
a group of people sitting in front of a crowd: Credits: Getty Images North America
a group of people standing in front of a crowd: Credits: Getty

serena awaliza watu kwenye Tuzo ya mwamke mwanamziki bora wa mwaka

Emotional: Selena Gomez broke down in tears as she thanked her kidney donor best friend Francia Raisa at the Billboard Women Of The Year awards in Los Angeles Thursday'Ameokoa maisha yangu! Selena Gomez aeleza hayo huku akibubujikwa na machozi wakati akikabidhi zawadi aliyopewa kwa mtu aliyemtolea figo anayeitwa Francia Raisa kwenye Billboard's Women In Music
Selena amepewa tuzo kama mwanamke bora na Billboard
Nyota huyu aliongea huku akiwa na hisia kazi sana kwa rafiki yake na msaidizi, mwokozi wake Francia ambapo selena alisema ilitakiwa huyu mwokozi wake apewe bali sio yeye
Akiwa anabubujikwa machozi mwadada huyu mwenye miaka 25 alisema nafikiri Francia alistahili tuzo ameniokoa maisha yangu
Selena aliwashangaza sana watu pale kwa kuonyesha picha zake alizozipiga pindi akiwa amewekewa figo kutoka kwa

Kutokana na maelezo ya mwimbaji huyo Francia alijitolea tu wala hakutaka pesa yoyote wala hakuombwa na mtu yoyote. 
BFF:Ā Selena, who was named Woman Of The Year, was presented with her honor by Raisa and Elle FanningSelena, alitajwa kama mshindi wa tuzo kama mwanamke wa mwaka, alipewa na Raisa na Elle Fanning

 'I think Francia should be getting this award,' the 25-year-old said through tears. 'She saved my life… I feel incredibly lucky.'Serena anasema tuzo hiyo alistahili yule ambaye amemtolea figo akayaokoa maisha yake. 

Ratiba ya ligi kuu Hispania kesho Jumamosi


Tuesday, 28 November 2017

ronaldo na familia yake

Cristiano Ronaldo poses with baby daughter Eva, one of his four young childrenmchezaji nyota wa real madrid Cristian Ronaldo akiwa na familia yake nje ya real madrid wiki hii pamoja na familia yake
ronaldo alionekana akiwa na kipenzi chake Evra
Evra aliyezaliwa na mwenzake mapacha  mwezi wa 6 ajumuisha watoto 3 wa mchezaji huyo mwaka huu pamoja na Mpenzi wake Georgina Rodriguez Ronaldo's young family includes Cristiano jr, seven, twins Mateo and Eva and newborn Alana
Familia ya Ronaldo
Ronaldo's girlfriend,Ā Georgina Rodriguez, poses with Alana, who was born in NovemberMpenzi wa Ronaldo, Georgina Rodriguez,akiwa amekaa na Alana, ambaye amezaliwa mwezi Novemba

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...