Manchester City walipata ushindi unaowafanya waendelee
kuongoza katika ligi mbele ya mahasimu wao kwa alama katika uwanja wa nyumbani Etihad
Stadium
Angelo Ogbonna aliifungia klabu yake goli la kuongoza katika
dakika za kipindi cha kwanza kabla ya Guardiola kupata nafasi na kurudi mpaka
kupata ushindi
Nicolas Otamendi aliwafungia man city goli la kusawazisha
dakika za mwanzoni katika kipindi cha pili
Silva aliwapa ushindi klabu yake kwa kupokea mpira kutoka
kwa de bruyne kwenye dakika ya 83
david Silva akifunga goli la ushindi kwa timu yake
Guardiola Akishangilia goli
Moyes atoka mikono mitupu awa na mwanzo mbaya kwenye kazi yake ya kuinoa klabu hiyo
No comments:
Post a Comment