DODOMA: Rais Magufuli akerwa na wasanii wanaovaa nusu utupu na kuacha sehemu za miili yao wazi kwenye video za muziki
> Aitaka @TCRA_Tz kuvichukulia hatua vituo vya runinga vitakavyocheza video za aina hiyo
"Kila ukifungulia mziki, wanaume wanacheza wakiwa wamevaa, sana sana wataachia kifua waonekane six pack, lakini wanawake waliowengi wanaachia viungo vyao"- Rais Dkt MagufuliJP
"Kila ukifungulia mziki, wanaume wanacheza wakiwa wamevaa, sana sana wataachia kifua waonekane six pack, lakini wanawake waliowengi wanaachia viungo vyao"- Rais Dkt MagufuliJP
No comments:
Post a Comment