ronaldo aibuka kama mchezaji kinara aliyeweza kufunga timu zilizo kwenye makundi yote sita. mchezaji huyu mwenye magoli 114 akiwa mbele ya messi kwa magoli 17 amezifunga timu zote zilizo kwenye makundi yote sita.
wafungaji wanaoongoza kwenye Champions League | |
---|---|
Cristiano Ronaldo | 114 |
Lionel Messi | 97 |
Raul | 71 |
Ruud van Nistelrooy | 56 |
Karim Benzema | 53 |
No comments:
Post a Comment