Monday, 21 September 2015

mbasha njee kashinda kesi

PICHA NJE YA MAHAKAMA BAADA YA MWIMBAJI WA GOSPEL EMMANUEL MBASHA KUSHINDA KESI YA UBAKAJI


September 21 2015 moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji yake na kesi imekuwa Mahakamani tangu mwaka 2014.Tayari hukumu ya Kesi hiyo imetolewa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo, Mwimbaji huyo ameachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo.Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada, Emmanuel Mbasha alivyotoka nje ya Mahakama baada ya Hukumu ya Kesi yake kutolewa.Screen Shot 2015-09-21 at 11.58.58 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.05 AM

Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.12 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.21 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.36 AM

Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.28 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.42 AM

Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.57 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 12.00.02 PM

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...