Muimbaji wa Pop Jennifer Lopez anazidi kuwa na muonekano mzuri na kufanya show kali bila kujali umri. Jennifer ameteka vichea vya habari kwa vazi alilovaa kwenye show ya iHeartRadio. Jennifer anamiaka 46 sasa na bado anaonkana mwenye nguvu na mvuto wa kutisha. Ni maisha ya wasanii wengi zaidi wenye kujipenda zaidi kuliko wasanii wa afrika zaidi tazama
akifanya yake dada J lo kama anavyojulikana kama dada japo na umri wake wa uzee |
Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote Kutoka
No comments:
Post a Comment