Tuesday, 22 September 2015

wateja waogopa kuingia waste gate baada ya kufunguliwa nchini kenya

Ni miaka miwili tangu kutokea kwa shambulio lililoua watu 67 katika jumba la kibiashara la Westgate, Nairobi wateja bado wanaogopa kutembelea jumba hilo lililofunguliwa upya mwezi Julai mwaka huu. Mwandishi wa BBC Shaaban Ndege alizuru jumba hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo.
Image result for west gate kenya

walinda amani wapo muda wote kwenye soko kubwa na lakuvutia zaidi kenya kwa sababu ya ukubwa na uzuri
wananchi na wateja wameshindwa kushiriki katika ufunguzi wa soko hilo baada ya kuvamiwa na majambazi
mpaka sasa wateja wanaogopa kuingia katika soko hilo wakiogopa kutokana na hali iliyotokea mwanzo



No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...