Saturday, 17 October 2015

antony marshial ashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi ligi kuu ya uingereza

Anthony Martial
Martial mshambuliaji wa klabu ya klabu ya manchester united apata tuzo ya mcheza bora wa mwezi wa tisa katika ligi kuu ya uingereza

ni mapema kwa mchezaji kuhamia timu mpya na kwa muda mfupi sana kupata tuzo kama hizi za ubora zaidi hapo uingerera pamoja na umri wake mdogo 
antony marshal alijiunga na klabu ya manchester kwa ada ya uhamisho wa paund milion 36 lakina kwa sasa thamani yake imepanda na kufikia paund milioni 58 ni mafanikio mazuri sana kwa mchezaji kama yeye kuyapata.

 Embedded image permalink
marshal atoa shukrani zake za dhati kwa wachezaji na mashabiki wake wakaribu sana kwa ushindi wa tuzo aliyoupata
hii ni baada ya kufunga goli tatu kwenye ligi hiyo
Embedded image permalink
Martial made an immediate impact for Manchester United against Liverpool on September 12 
kijana nhuyu kawaqshinda wenzake wa United Daley Blind, Watford striker Odion Ighalo, Tottenham keeper Hugo Lloris, West Ham schemer Dimitri Payet and Leicester City attacker Jamie Vardy kwenye tuzo.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...